Blueberry ni mmea wa asili wa Marekani ya Kaskazini tu. Kwa mamia ya miaka wahindi wa asili wa Marekani waliuita mmea huu "Star Berry". Waliamini kuwa miungu iliwapa mmea huu "Star Berry" ili uwasaidie nyakati za njaa. Kutoka kizazi hadi vizazi, walikusanya berries kutoka mwituni na kuzitumia kama chakula na dawa.
Nguvu ya kimaajabu ya blueberry imeendelea kuwavutia watu. Mmea wa blueberry kimsingi ni mmea pori. Watu waligundua faida kubwa za kiafya baada ya kula na kufanya utafiti wa kutosha kuhusu blueberry. Mkusanyiko wa blueberry ulikusanywa kutoka porini mwaka 1906 na mmarekani aliyeitwa F.V. Coville. Baada ya juhudi za wanasayansi za karibu mika 90, tasnia ya blueberry sasa inastawi. Mmea wa blueberry unaheshimika sana Marekani, Ulaya, Australia na maeneo mengine. Mavuno ya mmea wa blueberry hufikia kilele mwezi wa Julai, mwezi ambao huitwa National blueberry month huko Marekani.
Watu huuita mmea wa blueberry the mfalme wa matunda - king of fruits. Shirika la FAO limeuorodhesha kama moja ya virutushi vitano vya afya kwa ajili ya binadamu. Japani na Marekani hutaja blueberry kama mmea wa kuzuia kansa.
Marekani ya Kaskazini ni kinara wa uzalishaji wa blueberry. Blueberry ina uwingi wa virutubishi kama: amino acids, protini, folic acid, cellulose, vitamini C, vitamini E, vitamini A, SOD, flavonoids, potassium, iron, zinc, manganese na elementi nyingine adimu. Pamoja na uwingi wa virutubishi muhimu, mmea huu una kirutubishi chenye umbo la kipekee - anthocyanins, ikijumuisha Su-Kam sunflower, elementi ya Paeoniflorin THP-glucoside, elementi ya paeoniflorin Petunia glycosides yuan, cyanidin galactoside, myricetin flavin, n.k. takriban aina 15 ya anthocyanins. Anthocyanins ni viambato vya kipekee ambavyo haviwezi kupatikana kwenye mimea mingine.
Doctor Deming Li, raisi wa kampuni ya Green World alisoma Marekanai kwa miaka 17 na kuhitimu kwenye Chuo kikuu cha Cornell. Dr Deming Li ni mjumbe wa Blueberry Association of North america. Dr Deming Li anatafiti tabia za anti-oxidants za blueberrry na anthocyanins za molekuli ndogo za blueberry zinavyosaidia na kuboresha mzunguko wa damu katika mwili wa binadamu.
Kampuni ya Green World inashirikiana na Dalian University of Technology na kwa pampja ekari 3000 zimekamilika nje kidogo ya mji wa Dalian, eneo ambalo ni bora kimazingira, udongo, hali ya hewa na vipengele vingine katika uzalishaji wa blueberry.
1. Ni molekuli ndogo, zinazoyeyuka ndani ya maji. Zinaweza kupenya kizuizi kati ya damu na ubongo na kuulinda ubongo usiharibiwe na oksijeni (protect the brain from being oxidized), na kuimarisha utendaji kazi wa ubongo.
2. Kuzuia madhara ya free radicals, anti-oxidatio, na kuboresha kinga za mwili.
3. Hulinda macho haraka, kuboresha uonaji, kuondoa uchovu wa macho, kudhibiti uwezo wa macho wa kuona vitu vidogo.
4. Kupunguza kasi ya kuzeeka kwa ubongo, kuboresha kumbukumbu, kuzuia ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu kwa wazee.
5. Kupunguza cholesterol mbaya (LDL), kulinda mishipa ya damu, kuboresha utendaji kazi wa moyo.
6. Kuondoa uvimbe na kuzuia saratani.